7 Wote wanaoniona wananidhihaki;
wananivurumishia matusi, wakitikisa vichwa vyao:
8 Wanasema, "Amtegemea Mwenyezi Mungu,
basi Mwenyezi Mungu na amwokoe.
Amkomboe basi, kwa maana
anapendezwa naye."
7 Wote wanaoniona wananidhihaki;
wananivurumishia matusi, wakitikisa vichwa vyao:
8 Wanasema, "Amtegemea Mwenyezi Mungu,
basi Mwenyezi Mungu na amwokoe.
Amkomboe basi, kwa maana
anapendezwa naye."
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.