18 Mwenyezi Mungu anazifahamu siku za wanyofu,
na urithi wao utadumu milele.
19 Siku za maafa hawatanyauka,
siku za njaa watafurahia wingi wa vitu.
18 Mwenyezi Mungu anazifahamu siku za wanyofu,
na urithi wao utadumu milele.
19 Siku za maafa hawatanyauka,
siku za njaa watafurahia wingi wa vitu.