Umilele wa Mwenyezi Mungu na udhaifu wa mwanadamu
1 Bwana, wewe umekuwa makao yetu
katika vizazi vyote.
13 Ee Mwenyezi Mungu, uwe na huruma! Utakawia hata lini?
Wahurumie watumishi wako.
14 Tushibishe asubuhi kwa upendo wako usiokoma,
ili tuweze kuimba kwa shangwe na kufurahi siku zetu zote.