Mungu adumuye milele na binadamu apitaye
1 Wewe, Bwana, umekuwa makao yetu,
Kizazi baada ya kizazi.
13 Kum 32:36Urudi, Ee BWANA utakasirika hadi lini?
Wahurumie watumishi wako.
14 Utushibishe asubuhi kwa fadhili zako,
Nasi tutashangilia na kufurahi siku zetu zote.