8 Basi na wamshukuru Mwenyezi Mungu kwa upendo wake usiokoma,
na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu,
15 Basi na wamshukuru Mwenyezi Mungu kwa upendo wake usiokoma,
na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu,
21 Basi na wamshukuru Mwenyezi Mungu kwa upendo wake usiokoma,
na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu.
22 Na watoe dhabihu za kushukuru,
na wasimulie matendo yake kwa nyimbo za furaha.
31 Basi na wamshukuru Mwenyezi Mungu kwa upendo wake usiokoma,
na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu.