8 Na wamshukuru BWANA, kwa fadhili zake,
Na maajabu yake kwa wanadamu.
15 Na wamshukuru BWANA kwa fadhili zake,
Na maajabu yake kwa wanadamu.
21 Na wamshukuru BWANA kwa fadhili zake,
Na maajabu yake kwa wanadamu.
22 Law 7:12;Zab 50:14;Ebr 13:15Na wamtolee dhabihu za kushukuru,
Na kuyasimulia matendo yake kwa kuimba.
31 Na wamshukuru BWANA kwa fadhili zake,
Na maajabu yake kwa wanadamu.