Pular para o conteúdo
Publicidade

Zaburi 10

13 Kwa nini mdhalimu amdharau Mungu.

Akisema moyoni mwake, Hutapatiliza?

14 Umeona, maana unaangalia matatizo na dhiki,

Uyatwae mkononi mwako.

Mtu duni hukuachia nafsi yake,

Maana umekuwa msaidizi wa yatima.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também