17 Kut 20:6Bali fadhili za BWANA ni kwa wamchao
Tangu milele hata milele,
Na haki yake ni kwa vizazi vyote;
18 Kum 7:9Kwa wale walishikao agano lake,
Na kuyakumbuka maagizo yake ili wayafanye.