28 Wakamlilia BWANA katika dhiki zao,
Akawaponya kutoka kwa shida zao.
29 Zab 65:7;Isa 50:2;Mt 8:26;Mk 4:39-41Huituliza dhoruba, ikawa shwari,
Mawimbi yake yakanyamaza.
30 Ndipo walipofurahi kwa kuwa yametulia
Naye akawaleta mpaka bandani waliyoitamani.