Pular para o conteúdo
Publicidade

Zaburi 116

6 BWANA huwalinda wasio na hila;

Nilidhilika, akaniokoa.

7 Yer 6:16;Mt 11:29Ee nafsi yangu, urudi pumzikoni mwako,

Kwa kuwa BWANA amekutendea ukarimu.

8 Maana umeniponya nafsi yangu na mauti,

Macho yangu na machozi,

Na miguu yangu na kuanguka.

9 Nitaenenda mbele za BWANA

Katika nchi za walio hai.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também