25 Ee BWANA, utuokoe, twakusihi;
Ee BWANA, utufanikishe, twakusihi.
26 Na abarikiwe yeye ajaye kwa jina la BWANA;
Tumewabariki toka nyumbani mwa BWANA.
25 Ee BWANA, utuokoe, twakusihi;
Ee BWANA, utufanikishe, twakusihi.
26 Na abarikiwe yeye ajaye kwa jina la BWANA;
Tumewabariki toka nyumbani mwa BWANA.