147 Naamka kabla ya mapambazuko na kukuomba msaada,
Naweka tumaini langu katika maneno yako.
148 Zab 63:1,6Nakaa macho usiku kucha,
Ili kuitafakari ahadi yako.
147 Naamka kabla ya mapambazuko na kukuomba msaada,
Naweka tumaini langu katika maneno yako.
148 Zab 63:1,6Nakaa macho usiku kucha,
Ili kuitafakari ahadi yako.