Publicidade

Salmos 119

* * *

97 Zab 1:2Sheria yako naipenda mno ajabu,

Ndiyo kutafakari kwangu mchana kutwa.

98 Kum 4:6,8;Isa 48:17Maagizo yako hunitia hekima kuliko adui zangu,

Kwa maana ninayo sikuzote.

99 2 Tim 3:15Ninazo akili kuliko waalimu wangu wote,

Maana shuhuda zako ndizo nizifikirizo.

100 Ayu 12:12;32:7Ninao ufahamu kuliko wazee,

Kwa kuwa nimeyashika mausia yako.

Veja também

Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-07-05_19-25-13-