Pular para o conteúdo
Publicidade

Salmos 127

3 Mwa 33:5;Kum 28:4Tazama, watoto ni urithi kutoka kwa BWANA,

Uzao wa tumbo ni thawabu.

4 Kama mishale mkononi mwa shujaa,

Ndivyo walivyo watoto wa ujanani.

Veja também