Kusubiri wokovu wa Mungu
1 Omb 3:55;Yon 2:2Ee BWANA, toka vilindini nimekulilia.
2 Bwana, uisikie sauti yangu.
Masikio yako na yaisikilize
Sauti ya dua zangu.
1 Omb 3:55;Yon 2:2Ee BWANA, toka vilindini nimekulilia.
2 Bwana, uisikie sauti yangu.
Masikio yako na yaisikilize
Sauti ya dua zangu.