Publicidade

Salmos 130

Kusubiri wokovu wa Mungu

Wimbo wa kupanda mlima.

1 Omb 3:55;Yon 2:2 Ee BWANA, toka vilindini nimekulilia.

2 Bwana, uisikie sauti yangu.

Masikio yako na yaisikilize

Sauti ya dua zangu.

3 Zab 143:2;Yn 8:7-9;Rum 3:20 BWANA, kama Wewe ungehesabu maovu,

Ee Bwana, nani angesimama?

4 2 The 1:6;Zab 37:2;Yer 17:6;Kut 3:4-7;Efe 1:7;1 Fal 8:40;Yer 33:8,9;Ebr 12:28 Lakini kwako kuna msamaha,

Ili Wewe uogopwe.

5 Isa 26:8 Nimemngoja BWANA, roho yangu imengoja,

Na neno lake nimelitumainia.

6 Nafsi yangu inamngoja Bwana,

Kuliko walinzi waingojavyo asubuhi,

Naam, walinzi waingojao asubuhi.

7 Isa 55:7 Ee Israeli, umtarajie BWANA;

Maana kwa BWANA kuna fadhili,

Na kwake kuna ukombozi mwingi.

8 Mt 1:21;Tit 2:14 Yeye atamkomboa Israeli na maovu yake yote.

Veja também

Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-07-05_19-25-13-