17 1 Fal 11:36;Zab 92:10;Eze 29:21;Lk 1:69Hapo nitamchipushia Daudi pembe,
Na taa nimemtengenezea masihi132:17 Au, mtiwa mafuta. wangu.
18 Adui zake nitawavika aibu,
Bali juu yake taji lake litasitawi.