Mungu asiyeweza kukwepwa
1 Yer 12:3;Ufu 2:23Ee BWANA, umenichunguza na kunijua.
2 2 Fal 19:27;Mt 9:4;Yn 2:24Wewe wajua kuketi kwangu na kusimama kwangu;
Umelifahamu wazo langu tokea mbali.