Pular para o conteúdo
Publicidade

Salmos 139

Mungu asiyeweza kukwepwa

1 Yer 12:3;Ufu 2:23Ee BWANA, umenichunguza na kunijua.

2 2 Fal 19:27;Mt 9:4;Yn 2:24Wewe wajua kuketi kwangu na kusimama kwangu;

Umelifahamu wazo langu tokea mbali.

3 Umepepeta kwenda kwangu na kulala kwangu,

Umeelewa na njia zangu zote.

4 Ebr 4:13Maana hamna neno katika ulimini wangu

Usilolijua kabisa, BWANA.

Veja também