Pular para o conteúdo
Publicidade

Salmos 139

7 Niende wapi nijiepushe na roho yako?

Niende wapi niukimbie uso wako?

8 Mit 15:11Kama ningepanda mbinguni, Wewe uko;

Ningefanya kuzimu kitanda changu, Wewe uko.

9 Ningezitwaa mbawa za asubuhi,

Na kukaa pande za mwisho za bahari;

10 Huko nako mkono wako utaniongoza,

Na mkono wako wa kulia utanishika.

Veja também