Sala kwa ukombozi wa kitaifa na usalamaYa Daudi.1 *Na ahimidiwe BWANA, mwamba wangu, Aifundishaye mikono yangu vita, Na vidole vyangu kupigana.