Sala kwa ukombozi wa kitaifa na usalama
1 2 Sam 22:35Na ahimidiwe BWANA, mwamba wangu,
Aifundishaye mikono yangu vita,
Na vidole vyangu kupigana.
2 Mwamba144:2 Au Mhisani. wangu na ngome yangu,
Nguzo yangu na mwokozi wangu
Ngao yangu ninayemkimbilia,
Huwatiisha watu wangu chini yangu.