3 Isa 2:22Msiwatumainie wakuu,
Wala binadamu ambaye hakuna wokovu kwake.
4 Mhu 12:7;1 Kor 2:6Pumzi yake inapomtoka, anarudi katika udongo wake,
Siku iyo hiyo mipango yake hutoweka.