12 Vijana wa kiume, na wanawali,
Wazee, na watoto;
13 Isa 6:3;Flp 2:9Na walisifu jina la BWANA,
Maana jina lake peke yake limetukuka;
Adhama yake i juu ya nchi na mbingu.
12 Vijana wa kiume, na wanawali,
Wazee, na watoto;
13 Isa 6:3;Flp 2:9Na walisifu jina la BWANA,
Maana jina lake peke yake limetukuka;
Adhama yake i juu ya nchi na mbingu.