8 Mdo 2:25-28Nimemweka BWANA mbele yangu daima,
Kwa kuwa yuko kuliani mwangu, sitaondoshwa.
9 Kwa hiyo moyo wangu unafurahi,
Nayo nafsi yangu inashangilia,
Naam, mwili wangu nao utakaa kwa kutumaini.