Pular para o conteúdo
Publicidade

Salmos 17

3 Ayu 23:10;Yak 3:2Umenijaribu moyo wangu, umenijia usiku,

Umenichunguza usione neno;

Nimenuia kinywa changu kisikose,

4 Rum 12:2Kuhusu matendo ya wanadamu;

Kwa neno la midomo yako

Nimejiepusha na njia za wenye jeuri.

5 Nyayo zangu zimeshikamana na njia zako,

Hatua zangu hazikuondoshwa.

Veja também