Pular para o conteúdo
Publicidade

Zaburi 19

9 Kicho cha BWANA ni kitakatifu,

Kinadumu milele.

Hukumu za BWANA ni kweli,

Zina haki kabisa.

10 Ni za kutamanika kuliko dhahabu,

Kuliko wingi wa dhahabu safi.

Nazo ni tamu kuliko asali,

Kuliko sega la asali.

11 Mit 6:22,23Tena mtumishi wako huonywa kwazo,

Katika kuzishika kuna thawabu kuu.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também