Pular para o conteúdo
Publicidade

Zaburi 20

6 Sasa najua kuwa BWANA amwokoa masihi20:6 Au, mtiwa mafuta. wake;

Atamjibu toka mbingu zake takatifu,

Kwa matendo makuu ya wokovu

Ya mkono wake wa kulia.

7 Amu 7:7Hawa wanataja magari na hawa farasi,

Lakini sisi tutalitaja jina la BWANA, Mungu wetu.

8 Wao wameinama na kuanguka,

Bali sisi tumeinuka na kusimama.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também