Pular para o conteúdo
Publicidade

Salmos 21

7 Zab 91:2Kwa kuwa mfalme humtumainia BWANA,

Na kwa fadhili zake Aliye Juu hatatikisika.

8 Mkono wako utawapata adui zako wote,

Mkono wako wa kulia utawapata wanaokuchukia.

9 Kum 32:22Utawafanya kuwa kama tanuri ya moto,

Wakati wa ghadhabu yako.

BWANA atawameza kwa ghadhabu yake,

Na moto utawateketeza.

Veja também