Ombi la ukombozi katika shida na ukatili
1 Mt 27:46;Mk 15:34;Ebr 5:7Mungu wangu, Mungu wangu,
Mbona umeniacha?
Mbona U mbali na wokovu wangu,
Na maneno ya kuugua kwangu?
2 Ee Mungu wangu, nalia mchana lakini hujibu
Na wakati wa usiku lakini sipati raha.