22 Ebr 2:12;Yn 20:17Nitalihubiri jina lako kwa ndugu zangu,
Katikati ya kusanyiko nitakusifu.
23 Ninyi mnaomcha BWANA, msifuni,
Enyi nyote mlio wazawa wa Yakobo, mtukuzeni,
Mcheni, enyi nyote mlio wazawa wa Israeli.