9 Naam, Wewe ndiwe uliyenitoa tumboni,
Ulinisalimisha matitini mwa mama yangu.
10 Kwako nilitupwa tangu tumboni,
Toka tumboni mwa mamangu ndiwe Mungu wangu.
9 Naam, Wewe ndiwe uliyenitoa tumboni,
Ulinisalimisha matitini mwa mama yangu.
10 Kwako nilitupwa tangu tumboni,
Toka tumboni mwa mamangu ndiwe Mungu wangu.