Pular para o conteúdo
Publicidade

Salmos 23

Mchungaji mwema

1 Yn 10:11;1 Pet 2:25BWANA ndiye mchungaji wangu,

Sitapungukiwa na kitu.

2 Ufu 7:17;Eze 34:14Katika malisho ya majani mabichi hunilaza,

Kando ya maji ya utulivu huniongoza.

3 Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza

Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.

Veja também