Pular para o conteúdo
Publicidade

Salmos 24

Kuingia hekaluni

1 1 Kor 10:26;Kut 9:29;Ayu 41:11Nchi na vyote vilivyomo ni mali ya BWANA,

Dunia na wote wakaao ndani yake.

2 Maana ameiweka misingi yake juu ya bahari,

Na juu ya mito ya maji aliithibitisha.

Veja também