Pular para o conteúdo
Publicidade

Zaburi 24

3 Ni nani atakayepanda katika mlima wa BWANA?

Ni nani atakayesimama katika patakatifu pake?

4 Mt 5:8Mtu aliye na mikono safi na moyo mweupe,

Asiyeiweka nafsi yake katika uongo,

Wala hakuapa kwa hila.

5 Atapokea baraka kwa BWANA,

Na haki kwa Mungu wa wokovu wake.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também