Pular para o conteúdo
Publicidade

Salmos 24

5 Atapokea baraka kwa BWANA,

Na haki kwa Mungu wa wokovu wake.

6 Hiki ndicho kizazi cha wamtafutao,

Wakutafutao uso wako, Ee Mungu wa Yakobo.

Veja também