Pular para o conteúdo
Publicidade

Salmos 26

2 Ee BWANA, unijaribu na kunipima;

Unisafishe akili yangu na moyo wangu.

3 Maana fadhili zako zi mbele ya macho yangu,

Nami nimekwenda katika kweli yako.

Veja também