6 Kut 30:19;Zab 73:13;1 Tim 2:8Nitanawa mikono yangu bila ya kuwa na hatia,
Na kuizunguka madhabahu yako, Ee BWANA
7 Ili niitangaze sauti ya kushukuru,
Na kuzisimulia kazi zako za ajabu.
6 Kut 30:19;Zab 73:13;1 Tim 2:8Nitanawa mikono yangu bila ya kuwa na hatia,
Na kuizunguka madhabahu yako, Ee BWANA
7 Ili niitangaze sauti ya kushukuru,
Na kuzisimulia kazi zako za ajabu.