Pular para o conteúdo
Publicidade

Zaburi 27

Wimbo wa ushindi katika Bwana wa Daudi

1 BWANA ni nuru yangu na wokovu wangu,

Nimwogope nani?

BWANA ni ngome ya uzima wangu,

Nimhofu nani?

5 Mit 18:10;Isa 4:6;Kol 3:3Maana atanisitiri bandani mwake siku ya mabaya,

Atanisitiri katika sitara ya hema yake,

Na kuniinua juu ya mwamba.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também