6 Na ahimidiwe BWANA.
Maana ameisikia sauti ya dua yangu;
7 Zab 18:2BWANA ni nguvu zangu na ngao yangu.
Moyo wangu umemtumaini,
Nami nimesaidiwa;
Basi, moyo wangu unashangilia,
Na kwa wimbo wangu nitamshukuru.
6 Na ahimidiwe BWANA.
Maana ameisikia sauti ya dua yangu;
7 Zab 18:2BWANA ni nguvu zangu na ngao yangu.
Moyo wangu umemtumaini,
Nami nimesaidiwa;
Basi, moyo wangu unashangilia,
Na kwa wimbo wangu nitamshukuru.