7 Zab 18:2BWANA ni nguvu zangu na ngao yangu.
Moyo wangu umemtumaini,
Nami nimesaidiwa;
Basi, moyo wangu unashangilia,
Na kwa wimbo wangu nitamshukuru.
8 BWANA ni nguvu za watu wake,
Naye ni ngome ya wokovu kwa masihi28:8 Au, mtiwa mafuta. wake.

+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.