11 Umegeuza msiba wangu kuwa ngoma;
Umeniondolea huzuni yangu, kunijalia furaha tele.
12 Ili nafsi yangu ikusifu,
Wala isinyamaze.
Ee BWANA, Mungu wangu,
Nitakushukuru milele.
11 Umegeuza msiba wangu kuwa ngoma;
Umeniondolea huzuni yangu, kunijalia furaha tele.
12 Ili nafsi yangu ikusifu,
Wala isinyamaze.
Ee BWANA, Mungu wangu,
Nitakushukuru milele.