Pular para o conteúdo
Publicidade

Zaburi 30

4 Mwimbieni BWANA zaburi,

Enyi watauwa wake.

Na kutoa shukrani.

Kwa kukumbuka utakatifu wake.

5 Zab 16:11;Ufu 22:17Maana ghadhabu zake ni za muda mfupi tu;

Radhi yake ni ya milele.

Kilio huweza kuwapo usiku,

Lakini furaha huja asubuhi.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também