Pular para o conteúdo
Publicidade

Zaburi 31

Sala na sifa kwa kukombolewa kutoka kwa adui

1 Nimekukimbilia Wewe, BWANA,

Nisiaibike milele.

Kwa haki yako uniponye,

2 Zab 71:2;Mit 22:17Unitegee sikio lako, uniokoe hima.

Uwe kwangu mwamba wa nguvu,

Ngome thabiti ya kuniokoa.

3 Zab 23:3;Yer 14:7Ndiwe mwamba wangu na ngome yangu;

Kwa ajili ya jina lako uniongoze na unichunge.

4 Utanitoa katika wavu walionitegea kwa siri,

Maana Wewe ndiwe ngome yangu.

5 Lk 23:46;Mdo 7:59;2 Tim 1:12;Ebr 6:18Mikononi mwako naiweka roho yangu;

Umenikomboa, Ee BWANA, Mungu wa kweli.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também