Pular para o conteúdo
Publicidade

Zaburi 33

Ukuu na wema wa Mungu

1 Mpigieni BWANA vigelegele, enyi wenye haki,

Kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo.

2 Mshukuruni BWANA kwa kinubi,

Kwa kinanda cha nyuzi kumi mwimbieni sifa.

3 Isa 42:10Mwimbieni wimbo mpya,

Pigeni kwa ustadi kwa sauti ya shangwe.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também