17 Farasi hafai kitu kwa wokovu,
Wala hamponyi mtu kwa wingi wa nguvu zake.
18 Ayu 36:7;Zab 34:15Tazama, jicho la BWANA li kwao wamchao,
Wazingojeao fadhili zake.
19 Ili kuwaponya nafsi zao kutoka kwa mauti,
Na kuwahuisha wakati wa njaa.