Pular para o conteúdo
Publicidade

Salmos 34

8 1 Pet 2:3Onjeni muone ya kuwa BWANA yu mwema;

Heri mtu yule anayemtumainia.

9 Flp 4:19Mcheni BWANA, enyi watakatifu wake,

Maana, wamchao hawapungukiwi kitu.

10 Wanasimba hutindikiwa, na kuona njaa;

Bali wamtafutao BWANA hawapungukiwi kitu chochote kilicho chema.

11 Njoni, enyi wana, mnisikilize,

Nami nitawafundisha kumcha BWANA.

Veja também