Pular para o conteúdo
Publicidade

Salmos 36

7 Rut 2:12Ee Mungu, jinsi zilivyo na thamani fadhili zako!

Wanadamu huukimbilia uvuli wa mbawa zako.

8 Ayu 20:17;Ufu 22:1Watashibishwa kwa unono wa nyumba yako,

Nawe utawanywesha kutoka mto wa furaha zako.

9 Isa 12:3;Yer 2:13;Zek 13:1;Yn 4:10,14;Ufu 21:6;Mdo 26:18;Efe 5:8;Kol 1:13;1 Pet 2:9Maana kwako Wewe iko chemchemi ya uzima,

Katika nuru yako tutaona nuru.

Veja também