16 Mit 15:16;1 Tim 6:6Kidogo alicho nacho mwenye haki ni bora
Kuliko wingi wa mali wa wasio haki wengi.
17 Maana mikono ya wasio haki itavunjika,
Bali BWANA huwategemeza wenye haki.