23 Zab 121:3;Mit 16:9Hatua za mtu mwema huimarishwa na BWANA,
Naye huipenda njia yake.
24 Mik 7:8;2 Kor 4:9Ajapojikwaa hataanguka chini,
Maana BWANA humshika mkono na kumtegemeza.

+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.